TUZO ZA GRAMMY 2021 KUFANYIKA JUMAPILI HII
Tuzo za Grammy mwaka 2021 zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii Machi 14, Hafla ya Tuzo hizo za 63 itafanyika Huko Los Angeles, nchini Marekani huku Mastaa kama Cardi B, Megan Thee…
Tuzo za Grammy mwaka 2021 zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii Machi 14, Hafla ya Tuzo hizo za 63 itafanyika Huko Los Angeles, nchini Marekani huku Mastaa kama Cardi B, Megan Thee…
Shirika la Afya Duniani (WHO) imeiorodhesha Chanjo ya Johnson & Johnson kutumika kwa nchi zote zilizo ndani ya Mpango wa COVAX. Chanjo ya Johnson & Johnson imekuwa chanjo ya nne…
Rais Muhammadu Buhari ametoa agizo kwa Wanajeshi wa Nigeria kwa kuwapa ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, Watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47. Amri hii imetolewa…
Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amemuomba msamaha Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji wa Filamu nchini Ezekiel Mutua. Eric amethibitisha kuomba msamaha kupitia akaunti yake ya Instagram baada ya kuachiliwa…
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Ringtone ametoa onyo kali kufuatia kuanzishwa kwa awamu ya pili ya kipindi cha Eric Omondi kiitwacho “Wife Material”. Ringtone kupitia ukurasa wake wa Instagram,…
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania maarufu kama whozu ametangaza kuja na EP yake ya nyimbo 5. Whozu kupitia akaunti yake ya Instagram alitangaza ujio huo wa EP…
Staa wa muziki nchini Uganda Mary Bata amethibitisha kumsajili msanii wa kike nchini humo Kemi Sera kwenye lebo yake ya muziki ya MBM. Bata ameweka wazi hilo kwenye moja ya…
Msanii wa muziki wa Pop duniani the weeknd ameweka wazi uamuzi wake wa kutopeleka nyimbo zake kwenye tuzo za Grammys baada ya kutoteuliwa kuwania tuzo hizo kwa mwaka huu. Katika…
Kiongozi wa Upinzani nchini, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona lakini anaendelea vizuri katika Hospitali ya #Nairobi ambako amelazwa. Odinga alilazwa tangu Machi 9 baada ya kuwa…
Mataifa yanayositisha kutoa chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca ili kujiridhisha kuhusu usalama wa chanjo yaongezeka baada ya Thailand kutangaza kusitisha matumizi ya chajo hiyo. Mshauri wa Kamati ya Taifa ya…