WAKAAZI WA TURKANA WAMETAKIWA KUKOMA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUZUA TAHARUKI KUHUSU UGONJWA WA CORONA
Wakaazi wa kaunti ya Turkana wametakiwa kujitenga na kadhia ya kutimia mitandao ya kijamii kueneza taarifa za hofu kuhusiana na ugonjwa wa Corona ambao unaendelea kutikisa dunia. Katika taarifa kwa…