WAKULIMA WADINDA KUWASILISHA MAHINDI YAO KWA BODI YA NCPB KWA HOFU YA KUTOLIPWA
Wakulima bonde la ufa wameelezea wasiwasi wao kutokana na deni la Shilingi bilioni kumi na sita zinazodaiwa bodi ya mazao na nafaka nchini NCPB na benki ya KCB ambalo limepelekea…