SIKU ZA WIKI

Wakati wa Mungu

Kipindi cha ibada ya asubuhi.
Anza siku yako na Mungu

Kumekucha

Programu ya asubuhi juu ya siasa na maswala ya sasa
Pata burudani na kukujulishwa mambo mbalimbali ukiendelea kuchapa kazi na shughuli za kila siku

Interact Live

Programu ya burudani inayocheza muziki wa hivi karibuni huku ikiwashirikisha wasanii chipukizi

Darizi Drive

Kipindi chenye majadiliano ya hapa na pale ambayo hukuruhusu kumaliza siku yako vizuri

Nang’at

Kipindi katika lahaja ya Pokot ambapo tunazungumzia maswala anuwai

Patashika

Kila siku pata kusikiliza orodha ya muziki uupendao wakati wote

JUMAMOSI

Happy Sabbath

Jiunge na huduma ya Sabato ya moja kwa moja na usikilize nyimbo zote za Sabato unazopenda

Jukwaa la mtoto

Programu ya watoto inayoangalia maswala na majadiliano ya watoto

Interact Extra

Pata burudani Extra, muziki wa hivi karibuni zaidi na majadiliano ya moja kwa moja na wasanii maarufu

Reggae Spice

Programu ya mashabiki wa reggae iliyo na nyimbo bora za reggae

Habari za michezo unazozipenda za wikendi. Pata sasisho zote za michezo pamoja na matangazo ya moja kwa moja ya mechi

Marakwet Express

Programu ya Marakwet/Pokot inayogusa maswala mbalimbali na haswa hujaribu kuleta uwiano na uelewano kati ya jamii

JUMAPILI

Urejesho

Jiunge na huduma ya jumapili moja kwa moja na usikilize nyimbo zote za injili unazopenda

Inuliwa

Kipindi cha kidini ambacho hukusaidia kuinuka kiroho
Muziki zote za injili katika sehemu moja

Ukumbi wa Kristo

Hii ni programu ya kikatoliki. Sikiliza nyimbo za katoliki na huduma ya misa
northriftradio.co.ke